Kuachwa...

Kuna mtu alitaka kuzimia! muda wa kukusanya pepa umefika halafu pepa bado iko kwa mdesaji! weweeeeeeeeee! Si mihangaiko hiyo! kwi kwi kwi yaani ni burudani tosha!

Hahahahahahahahahahaha kha! umeniacha hoi mpaka umenipotezea stimu ya Nyagi.
 
ha kuna siku lecturers kama 5 hivi walituvamia maana walitonywa watu wanadesa eeh bwana eeh kumbe makalio makubwa yana matumizi yake......watu walikalia madesa na prof akapita patupu...................

Hahahahahahahahahahaha wewe mtoto unaniharibia stimu za Valuu kha!
We unafikiri kwa nn mm napenda sana wenye makalio makubwa yale yana kazi nyingi bana.
 
Hahahahahahahahahahaha wewe mtoto unaniharibia stimu za Valuu kha!
We unafikiri kwa nn mm napenda sana wenye makalio makubwa yale yana kazi nyingi bana.

Fide acha tu!!! hiyo pepa ilikuwa ngumu afu prof huyo alikuwa na historia ya kung'ang'ania poor me!!!

kuibiwa huwa siwezi ntakamatwa mara moja......best yangu alikuw amweupe kichwani kw ahiyo usiku alifany akazi ya kutengeneza nyenzo tu, mashallah she z blessed with that backyard, alikalia kitu na mkubwa akapita hv hv!! it was a matter of death or life!!!
hahaaaaaa Masaki uko wapi unisaidie kumthibitisha huyu binti lol!!!
 
BHT,
We acha tu, ili Tatizo mbona limesumbua wengi sana, nakumbuka kuna jamaa yeye alikuwa mtu wa masanga saaaaaaaaaana, wakati wa mtihani anaweka oda utasikia "brother tunakaa woote" , huyo jamaa alikuwa fasta kukopy kulikoni, alikuwa ananifuraisha kitu kimoja ukikosea anajua kuwa umekosea lakini anangoja wewe urekebishe yeye aamishe tu, Utamsikia akilalamika hiyo ya pili umekosea bwana rekebisha.
 

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamani Rene uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii umeniua kabisa sasa mwenzio duh!!!

huyo mdesaji wa maana huyo deyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyym!!! rekebisha yeye aamalizie kukopi duh!! at least anajua hilo sio jibu sahihi japo hajui jibu sahihi ni lipi!!!!
 
Niache basi kwa Sadala na huyo binti mammy,
P'se help me huo ndo ugonjwa wangu anaweza akaniponyesha.

nunua tickets 4 za BA tupae ntakusaidia ku-negotiate ikibuma tunarudi zetu, ikitiki utajua mwenyewe nikuache au urudi!!
 


Hahahhhahahahaha! Hapo kwenye bluu nimecheka kwa nguvu. Hiyo kali.
 

Hahahahah! We acha tu nipo hapa. Kuna dada mmoja alikuwa na kama makengeza hivi, dah yaani huyo kwa kudesa alikuwa professional...Jicho moja linaangalia kwenye karatasi yake, jicho lingine linadesa upande wa pili. Ukikosea ukakata, na yeye anakataka, mnafungua ukurasa mwingine, mnaanza upya.

Those good old days!
 

Yaaani I have loved that mdesaji anayejua mpaka jibu sahihi ila hawezi kurekebisha mweneyewe. Kuna siku kwenye ''kijiji'' tuliyekuwa tunamtegemea alikosea formula kwa kuwa alilielewa swali vinginevyo. Kwa kuwa wengine hata karatasi za maswali tulikuwa tumeweka pembeni tunasubiri kudesa tu, ''kijiji'' kizima ikala kwetu.......Msishangae ZILIKUWA HESABU ati...!!!
 

khaaaa jamani na nyie mpaka maswali hamkutaka kuyapitia wenyewe....duh!!

kumbe kunaain anyingi za kudesea eeeh!!!!!
 
Jamani hivi mapenzi bado yapo?

mapenzi bado yapo sana tu, lakini uwe tayari kusema samahani pale unapoambiwa umemkosea na wewe unapoombwa samahani uwe mwepesi kutamka nimekusamehe. Mkiweza kuwa hivyo basi mapenzi mtayafurahia sana, hamna asiyefanya makosa dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…