MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Mh dada na tarehe hizi nakunywa bia hela naiokotea wapi ? Nipo zangu na master na ulanzi hiyo taarifa nimeisikia kwa boss analalamika kuwa beer hadimu nikaishia kucheka na kusema walau naye aje aonje uchungu wa master mdomoni na kooni .Kaka yangu MENEMENE TEKERI NA PERESI hujalalamika au umehama, umesharudi Dar Upanga? Au unakunywa chui? Nasikia biereee zimehadimika pande hizo.
Cc min -me
Hahahha madam mzuri unazungumzia bia?Kaka yangu MENEMENE TEKERI NA PERESI hujalalamika au umehama, umesharudi Dar Upanga? Au unakunywa chui? Nasikia biereee zimehadimika pande hizo.
Cc min -me
Walevi hatuna shida,shida ipo kwenu nyie msiokunywa😃 😀 😄 😁 katika wateja ambao hawana mambo mengi walevi mnaongoza. Huwa mlevi akija dukani kwangu hata punguzo mara nyingi haombi. Mbarikiwe sana walevi
Nani anayewachokoza hawa mabosi wapanda juu ya meza?Wamewasikia walevi
Pan master..!! Aisee nakumbuka mbaaaaal sanaMh dada na tarehe hizi nakunywa bia hela naiokotea wapi ? Nipo zangu na master na ulanzi hiyo taarifa nimeisikia kwa boss analalamika kuwa beer hadimu nikaishia kucheka na kusema walau naye aje aonje uchungu wa master mdomoni na kooni .
Enjoy maisha mafupi nduguPan master..!! Aisee nakumbuka mbaaaaal sana
TBL wenyewe wanasema wanaongeza VAT mlipe kodi sio mnabugia mibia tuNani anayewachokoza hawa mabosi wapanda juu ya meza?
Walete mzigo, mengine itajulikana huko,hukoTBL wenyewe wanasema wanaongeza VAT
Hii mbaya sana kwa afya za mwana mbeya🤔Poleni sana ndugu zangu wa Mbeya kwa kukosa bia, nina imani zitaletwa za kutosha.
KabisaHii mbaya sana kwa afya za mwana mbeya🤔
Mama sami afanye kituKabisa
Atafanya kitu tu watu waendelee kula mema ya duniaMama sami afanye kitu
Umebubujikwa na chozi zito kama Lucas Mwashamba wakati akimsifia sa 100Poleni marafiki zetu, huku huduma zipo kama kawaida!!
Hakika nimebubujikwa kwa machozi ya uchungu kusikia hali ngumu mnayopitia wenzetu
Ngoja nipate kidogo namna ili nikae kiaskari😎