Kuagiza ama kuuza mizigo (Internatianal trade)

equator

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
209
Reaction score
124
Habari za muda wanajukwaa.

Mimi nina rafiki yangu aliepo Asia (korea) wakati wa kujadili Idea za hela akaniambia yeye anafanyaga pia International trade.

Akaniambia kuwa maaana yake ni yeye ni mtafuta masoko wa kimataifa anatuma mizigo kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine ama bara jingine. Akanishauri maaana nipo East Africa naweza kuwa partner wake nitafute mizigo aidha ya kuagiza huko Korea, China , U.S n.k au kama una mzigo ungependa ku uza huko.

Nakaribisha maoni yenu mwenye Idea ama connection za mizigo tulisogeze gurudumu.

Shukrani
 
Nilitegemea hapa uje na order ya kitu gani cha kupeleka Korea, huyo siyo partner ni mjanjamjanja tu na wewe Kwa stress za kuwa jobless basi Hujui hata unachokifanya.

Biashara kubwa ya Korea Kwa Tanzania ni magari na electronics item, yeye ndio anapaswa akupe proposal anaweza kuleta bidhaa gani Tanzania, na wao Korea kuna demand ya bidhaa IPI ambayo inapatikana Tanzania? hivyo ndio watu wanafanya biashara na partnership.
 
okay Dr labda sijaeleweka nachojaribu kutafuta ni watu wenye mizigo aina mbalimabli wanao taka kununua ama ku uza huko Korea , china ama U.S. Mfano nilitegemea mtu aseme
“Nina maindi tani 60 naweza uza?/ nina kuku laki 8 / nataka niagize Apple za korea n.k”
Nimeuliza hivyo maaana mizigo aliosema anayo itakuwa tabu ku uza Tz (nita attach) na pia sio mbaya ku explore soko jipya.

Nilipenda kutumia nafasi hii ili ku panua wigo wa soko.
 
Attachments

Nilitegemea hapa uje na order ya kitu gani cha kupeleka Korea, huyo siyo partner ni mjanjamjanja tu na wewe Kwa stress za kuwa jobless basi Hujui hata unachokifanya.

Biashara kubwa ya Korea Kwa Tanzania ni magari na electronics item, yeye ndio anapaswa akupe proposal anaweza kuleta bidhaa gani Tanzania, na wao Korea kuna demand ya bidhaa IPI ambayo inapatikana Tanzania? hivyo ndio watu wanafanya biashara na partnership.
Eti mjanjamjanja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom