Nilitegemea hapa uje na order ya kitu gani cha kupeleka Korea, huyo siyo partner ni mjanjamjanja tu na wewe Kwa stress za kuwa jobless basi Hujui hata unachokifanya.Habari za muda wanajukwaa.
Mimi nina rafiki yangu aliepo Asia (korea) wakati wa kujadili Idea za hela akaniambia yeye anafanyaga pia International trade.
Akaniambia kuwa maaana yake ni yeye ni mtafuta masoko wa kimataifa anatuma mizigo kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine ama bara jingine. Akanishauri maaana nipo East Africa naweza kuwa partner wake nitafute mizigo aidha ya kuagiza huko Korea, China , U.S n.k au kama una mzigo ungependa ku uza huko.
Nakaribisha maoni yenu mwenye Idea ama connection za mizigo tulisogeze gurudumu.
Shukrani
okay Dr labda sijaeleweka nachojaribu kutafuta ni watu wenye mizigo aina mbalimabli wanao taka kununua ama ku uza huko Korea , china ama U.S. Mfano nilitegemea mtu asemeNilitegemea hapa uje na order ya kitu gani cha kupeleka Korea, huyo siyo partner ni mjanjamjanja tu na wewe Kwa stress za kuwa jobless basi Hujui hata unachokifanya.
Biashara kubwa ya Korea Kwa Tanzania ni magari na electronics item, yeye ndio anapaswa akupe proposal anaweza kuleta bidhaa gani Tanzania, na wao Korea kuna demand ya bidhaa IPI ambayo inapatikana Tanzania? hivyo ndio watu wanafanya biashara na partnership.
Eti mjanjamjanja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilitegemea hapa uje na order ya kitu gani cha kupeleka Korea, huyo siyo partner ni mjanjamjanja tu na wewe Kwa stress za kuwa jobless basi Hujui hata unachokifanya.
Biashara kubwa ya Korea Kwa Tanzania ni magari na electronics item, yeye ndio anapaswa akupe proposal anaweza kuleta bidhaa gani Tanzania, na wao Korea kuna demand ya bidhaa IPI ambayo inapatikana Tanzania? hivyo ndio watu wanafanya biashara na partnership.