Kuagiza bajaji kutoka nje ya nchi

deni

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
255
Reaction score
191
Ninahitaji kufanya biashara ya usafirishaji kwa kutumia Bajaji.
Kwa kua ninahitaji kuanza na bajaji nne, nimehisi nivyema nikaziagiza kutoka nje kwa kua yaweza ikawa nirahisi zaidi kuliko kununua kwa rejareja hapa nchinii.

Kwa wale wenye uzoefu wa swala la kuagiza items kama hizi naomba mnipe msaada kuhusu:
- je ni muda gani zinaweza kuchukua tangu kuagiza mpaka kufika nchini?
- je ni nchi gani naweza kuagiza toka huko na hatua gani zinapaswa kufuatwa?
- ni changamoto gani naweza kutana nazo?
- je nipo sahihi kwamba nitapunguza gharama kwa kuagiza badala ya kununua hapa hapa?
 
Kwanza hongera kwa hatua hiyo, pili ni kwel utapunguza some cost ukiagiza kutoka nje na kuhusu mda gan inachukua mpaka kufika inategemeana na nchi ambayo unaagiza hizo bajaji na pia inagemea na meli ambayo mzigo wako umekuwa located to be shipped inshort inategemeana ETD yako na yaweza kuwa wiki tatu na kuendelea. Na vitu muhimu ni kuwa TIN number kwa ajil ya clearance na kupata agent ambaye atakushughulikia suala zima la utowaji wa mzgo wako bandarin
 
Asante mkuu
 
Mkuu, hongera kwa kutaka kuingia kwenye hii biashara ya Bajaji. Bajaji nzuri aina ya 'TVS King' zinapatikana India pekee, na ndio Bajaji zilizo bora na nzuri. Ubaya ni kwamba hawa jamaa wa 'Car and General' wame monopolise hii market ya bajaji. Ni ngumu kuagiza Bajaj from India maana ukifanya nao contact watakwambia wana wakala wao hapa nchini ambae ni C&G iliyopo posta. Kuaguza sio rahisi kama unavyogiza magari tokea Japan. Ila nisikukatishe tamaa mkuu, jaribu. Karibu kwenye biashara ya Bajaji.
 
Mkuu habari ? VP ulifanikiwa kuagiza hizo bajaji ?
 

Mkuu deni habari, Je ulifanikiwa kuagiza bajaji yako. naomba uzoefu wako. KUAGIZA BAJAJI KUTOKA NJE YA NCHI

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…