Kuagiza bidhaa nje

Kuagiza bidhaa nje

Biny

Member
Joined
Sep 27, 2018
Posts
33
Reaction score
8
Habari zenu wadau naomba msaada wa kujua mambo mawili.
1. Nahitaji mashine crusher jee kwa hapa bongo zinapatikana na ni bei gani?
2.ikiwa nitaagiza kutoka nje niliyoiona imeandikwa $2000-7000$ hiyo ndio price ya huko.
Jee nitajuaje kama hiyo bei yake na gharama za usafiri hadi naipata au kuna ma agent ambao wanahusika na hizo kazi.
 
nje niliyoiona imeandikwa $2000-7000$ hiyo ndio price ya huko.
Hii ni bei ya manunuzi, bila usafirishaji.

Ilitakiwa uwasiliane na muuzaji ili kupata ghalama kamili ya kufikisha mzigo DAR, huwa inatwa CIF price.
- Air cargo - huwa ni aghali ukilinganisha na
- Sea shipping.
Hivyo ni vyema ukajua ghalama kamili kabla ya kufanya maamuzi.
 
Habari zenu wadau naomba msaada wa kujua mambo mawili.
1. Nahitaji mashine crusher jee kwa hapa bongo zinapatikana na ni bei gani?
2.ikiwa nitaagiza kutoka nje niliyoiona imeandikwa $2000-7000$ hiyo ndio price ya huko.
Jee nitajuaje kama hiyo bei yake na gharama za usafiri hadi naipata au kuna ma agent ambao wanahusika na hizo kazi.

WhatsApp +8618857052304
Pitia Instagram page yangu @panga_sourcing ninatuma mizigo na mashine aina yoyote kutoka China
 
Asante sana nashukuru nimeshachukua namba zako nitakucheki mkuu
 
Back
Top Bottom