Hii ni bei ya manunuzi, bila usafirishaji.nje niliyoiona imeandikwa $2000-7000$ hiyo ndio price ya huko.
Habari zenu wadau naomba msaada wa kujua mambo mawili.
1. Nahitaji mashine crusher jee kwa hapa bongo zinapatikana na ni bei gani?
2.ikiwa nitaagiza kutoka nje niliyoiona imeandikwa $2000-7000$ hiyo ndio price ya huko.
Jee nitajuaje kama hiyo bei yake na gharama za usafiri hadi naipata au kuna ma agent ambao wanahusika na hizo kazi.