Kuagiza bidhaa nje

Kuagiza bidhaa nje

boy 1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
414
Reaction score
395
Mwezi huu nimepanga niagize bidhaa tofauti tofauti kutoka China kwa kupitia app ya kikuu
Kwa anayefahamu vipi mizigo bado wanaleta au wanasumbua siku hizi kutokana na ugonjwa wa corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hapa bongo mbona wanakwambia mzigo unapata wiki mbili hadi tatu na mm nipo dar ofisi zao zilipo

Sent using Jamii Forums mobile app

Namna ya kutuma mzigo boss. hauwezekani umunue saa ya elfu 5 uletewe instantly. inabidi mzigo uwe mwingi ndio utumwe.

Jifunze uchumi, Jifujze economies of scale utaelewa
 
Namna ya kutuma mzigo boss. hauwezekani umunue saa ya elfu 5 uletewe instantly. inabidi mzigo uwe mwingi ndio utumwe.

Jifunze uchumi, Jifujze economies of scale utaelewa
Nilichoelewa mm ni kwamba nikiagiza hiyo saa ya elfu 5 sio nitaagiza peke yangu inaonyesha kabisa na idadi ya watu wengine walioagiza wakifika wengi inaunganishwa na mizigo mingine inakuaja kwa pamoja na sio wanakuletea saa peke yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom