Tatizo la watanzania kila kazi kutaka kufanya udalali hamna mtaji wa kazi zenu, hiyo ni hatua ya kwanza ya utapeli, utanipa ushauri gani? Kwanini usilete uuze mwenyewe.Habari za muda huu wapendwa,
Nalipanda jukwaa la Jamii forum kwa kutaka kunena na wafanyabiashara wa hardware,kama kichwa kinavyosema hapo,ninatoa huduma za kuagiza cement aina ya bamburi kutoka nchini kenya na kuingiza Tanzania.Natoa ushauri,elimu pamoja na kufanya facilitation ya mzigo kama kutakuwa na mtu anahitaji kufanya biashara hii.Karibuni
0756860550
Bambur Tz aina sokoHabari za muda huu wapendwa,
Nalipanda jukwaa la Jamii forum kwa kutaka kunena na wafanyabiashara wa hardware,kama kichwa kinavyosema hapo,ninatoa huduma za kuagiza cement aina ya bamburi kutoka nchini kenya na kuingiza Tanzania.Natoa ushauri,elimu pamoja na kufanya facilitation ya mzigo kama kutakuwa na mtu anahitaji kufanya biashara hii.Karibuni
0756860550
Hz cement wanazitumia zaidi wanaofyatua tofari za kuuzaBambur Tz aina soko
mzunguko wake mdogo sanaHz cement wanazitumia zaidi wanaofyatua tofari za kuuza
Ipo bamburi na rhino pia,ngoja niongeze juu hapo
Mpaka ulinganishe bei zake ndo ufanye maamuzi sahihi.Achana na hili wazo.
Hili wazo ni zuri matumizi ya moja kwa moja (sio biashara) hasa kwa wakazi wa ukanda wa mipakani kama Tanga, Moshi na Mara.
Mkuu tuwasiliane tuzungumze kidogo,ulikuwa unapitishia boda ganiHiyo biashara niliwahi kuifanya nikakumbana na Kodi lukuki za Tanzania nikashindwa kuendelea nayo.kuingiza mizigo Tanganyika Toka Kenya ni sawa na kuagiza mbuzi kuleta kwenye hifadhi ya simba