Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe namba zako PM nikupe muongozoHabari zenu wakuu!
Kama mambo yakienda kama nnavyotarajia natizamia kuagiza gari kutoka Japan kupitia kampuni ya Be forward kwa bajeti ya mil. 8-9.
Natizamia kuagiza gari ya cc 1200-1300.
Je inawezekana kwa bajeti hii?
Ofisi zao zipo wapi mkuu!!Inawezekana, kikubwa nenda kwenye ofisi zao na watakuonyesha aina ya gari walizonazo kulingana na kiasi cha pesa unachotarajia kutoa kwa ajili hiyo
Habari ndugu? Inawezekana kabisa. Nipigie kwenye namba 0746267740 tupange appointment kwa kesho ili uweze kuagiza gari yako kulingana na bajeti yako.Habari zenu wakuu!
Kama mambo yakienda kama nnavyotarajia natizamia kuagiza gari kutoka Japan kupitia kampuni ya Be forward kwa bajeti ya mil. 8-9.
Natizamia kuagiza gari ya cc 1200-1300.
Je inawezekana kwa bajeti hii?