Kuagiza gari na autocom Japan

Kuagiza gari na autocom Japan

A.Ngindo

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
276
Reaction score
101
Habarini wana jamvi,

Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt).

Je, nini kina chagiza hili maana nina hitaji kununua gari kutoka kwao ila nina mshaka nao.
 
A.Ngindo

Kwenye biashara, kuna muda ni lazma uuze bei rahisi zaidi ya wengine ili uweze kuuza nyingi na uteke soko!

Nadhani hiyo ndio sababu!

Unaweza kufanya uamuzi.
 
Mimi naona autocom wana bei kali zaidi.
Autocom naona kama inspection reports zao wanaziweka wazi sana,Befoward mtu asipokuwa makini ni rahisi sana kuuziwa gari bovu sababu kuna a lot of information hawazitoi kwa uwazi sana.Kama anataka gari bora sana asiangalie bei.TRUST JP wapo vizuri ila bei zao ndo mtu ajipange kidogo.
 
A.Ngindo

Kwenye biashara, kuna muda ni lazma uuze bei rahisi zaidi ya wengine ili uweze kuuza nyingi na uteke soko!

Nadhani hiyo ndio sababu!

Unaweza kufanya uamuzi.
napata kigugumizi chief maana ni kampuni ngeni kwangu,bei zao naona ni affordable lakini sijajua kuhusu quality ya magari yao
 
Wapo muda mrefu tu hapa Tanzania kaka!

Nadhani tokea 2014/15

Sasa hivi wapo hata mikoani, haswa arusha . ( kama sikosei )

Kuhusiana na suala la quality la gari zao, hapo siwezi kutia neno maana sijawahi kumuagizia mteja huko zaidi ya be forward!

Kwahiyo, sina experience yeyote nao. Japo sina hakika kama ni wabovu maana tungeona malalamiko.
 
Habarini wana jamvi,

Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt).

Je, nini kina chagiza hili maana nina hitaji kununua gari kutoka kwao ila nina mshaka nao.

Gari zao zina ubora, na bei nafuu kulinganisha na soko, unaweza kuagiza, local representatives atakupigia simu, hakikisha pesa unalipa kwenye account ya autocom japan.
 
Habarini wana jamvi,

Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt).

Je, nini kina chagiza hili maana nina hitaji kununua gari kutoka kwao ila nina mshaka nao.
nimenunua kwo wako na magari mazuri sana unavyoiona ndivyo inavyokuwa
 
Nimeagiza gari kwao mwaka jana ila moja kwa moja toka Japan na tukawasiliana na agent wao wa Japan kwa msaada zaidi. Gari zao ziko poa na zinakuwa na inspected vizuri. Bei zao pia sio mbaya ukikinganisha na unora wa gari. Moja ya kampuni amabazo naweza kurudia kuagiza nao gari. Nyingine nazoziamini ni
1. Trust (japanesevehicles.com) - no.1 kwangu
2. Real motor Japan
 
Hivi mtu yeyote anaweza kuagiza gari nje? Au mpaka upitie kwenye kampuni za watz
 
Nimeagiza gari kwao mwaka jana ila moja kwa moja toka Japan na tukawasiliana na agent wao wa Japan kwa msaada zaidi. Gari zao ziko poa na zinakuwa na inspected vizuri. Bei zao pia sio mbaya ukikinganisha na unora wa gari. Moja ya kampuni amabazo naweza kurudia kuagiza nao gari. Nyingine nazoziamini ni
1. Trust (japanesevehicles.com) - no.1 kwangu
2. Real motor Japan
Mkuu habari, ilikuchukua muda gani tangu ufanye malipo mpka gari yako kusafirishwa?
Mimi nimelipia gari week mbili sasa ila wamekua kimya wakisema nisubir ipatikane meli ya kusafirisha
 
Nimeagiza gari kupitia hawa jamaa autocom japan week mbili sasa sijapata mrejesho kutoka kwao, na hivi hawana office hapa bongo basi nabaki kujifariji tu sijapigwa na kitu kizito mwaka huu lols
 
Autocom na Autocj si ni moja??
Kama ndio, basi wana offisi bongo maana nakumbuka miaka kadhaa nyuma niliagizia ofisini kwao kipindi kile ilikuwa kwenye jengo la Quality plaza

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nimeagiza gari kwao mwaka jana ila moja kwa moja toka Japan na tukawasiliana na agent wao wa Japan kwa msaada zaidi. Gari zao ziko poa na zinakuwa na inspected vizuri. Bei zao pia sio mbaya ukikinganisha na unora wa gari. Moja ya kampuni amabazo naweza kurudia kuagiza nao gari. Nyingine nazoziamini ni
1. Trust (japanesevehicles.com) - no.1 kwangu
2. Real motor Japan
Mkuu unapata wapi ujasiri wakulipia Pesa ndefu kwenye makampuni mapya mtandaoni?
 
Back
Top Bottom