Mimi naona autocom wana bei kali zaidi.Habarini wana jamvi,Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt) je nini kina chagiza hili maana nina hitaji kununua gari kutoka kwao ila nina mshaka nao.
Autocom naona kama inspection reports zao wanaziweka wazi sana,Befoward mtu asipokuwa makini ni rahisi sana kuuziwa gari bovu sababu kuna a lot of information hawazitoi kwa uwazi sana.Kama anataka gari bora sana asiangalie bei.TRUST JP wapo vizuri ila bei zao ndo mtu ajipange kidogo.Mimi naona autocom wana bei kali zaidi.
umetumia vigezo gani mkuu,Mbona kama wao ndio wana unafuu ?Mimi naona autocom wana bei kali zaidi.
napata kigugumizi cheif maana sijawahi kuagiza naoAutocom wanabei chini kidogo na gari zao ni kali agiza nao huwezi juta.
napata kigugumizi chief maana ni kampuni ngeni kwangu,bei zao naona ni affordable lakini sijajua kuhusu quality ya magari yaoA.Ngindo
Kwenye biashara, kuna muda ni lazma uuze bei rahisi zaidi ya wengine ili uweze kuuza nyingi na uteke soko!
Nadhani hiyo ndio sababu!
Unaweza kufanya uamuzi.
Wapo muda mrefu tu hapa Tanzania kaka!napata kigugumizi chief maana ni kampuni ngeni kwangu,bei zao naona ni affordable lakini sijajua kuhusu quality ya magari yao
Habarini wana jamvi,
Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt).
Je, nini kina chagiza hili maana nina hitaji kununua gari kutoka kwao ila nina mshaka nao.
napata kigugumizi cheif maana sijawahi kuagiza nao
nimenunua kwo wako na magari mazuri sana unavyoiona ndivyo inavyokuwaHabarini wana jamvi,
Naomba kujua ubora wa gari kutoka kampuni ya autocom japan maana naona bei zao ni nafuu kidogo ukilinganisha na wauzaji wengine (Befoward & sbt).
Je, nini kina chagiza hili maana nina hitaji kununua gari kutoka kwao ila nina mshaka nao.
Mtu yoyote na Japan Kuna makampuni mengi zaidi ya haya unayoyafaham hukuHivi mtu yeyote anaweza kuagiza gari nje? Au mpaka upitie kwenye kampuni za watz
Mkuu habari, ilikuchukua muda gani tangu ufanye malipo mpka gari yako kusafirishwa?Nimeagiza gari kwao mwaka jana ila moja kwa moja toka Japan na tukawasiliana na agent wao wa Japan kwa msaada zaidi. Gari zao ziko poa na zinakuwa na inspected vizuri. Bei zao pia sio mbaya ukikinganisha na unora wa gari. Moja ya kampuni amabazo naweza kurudia kuagiza nao gari. Nyingine nazoziamini ni
1. Trust (japanesevehicles.com) - no.1 kwangu
2. Real motor Japan
Autocom na Autocj si ni moja??Nimeagiza gari kupitia hawa jamaa autocom japan week mbili sasa sijapata mrejesho kutoka kwao, na hivi hawana office hapa bongo basi nabaki kujifariji tu sijapigwa na kitu kizito mwaka huu lols
Mkuu unapata wapi ujasiri wakulipia Pesa ndefu kwenye makampuni mapya mtandaoni?Nimeagiza gari kwao mwaka jana ila moja kwa moja toka Japan na tukawasiliana na agent wao wa Japan kwa msaada zaidi. Gari zao ziko poa na zinakuwa na inspected vizuri. Bei zao pia sio mbaya ukikinganisha na unora wa gari. Moja ya kampuni amabazo naweza kurudia kuagiza nao gari. Nyingine nazoziamini ni
1. Trust (japanesevehicles.com) - no.1 kwangu
2. Real motor Japan