Kuagiza magari

Kuagiza magari

Dans B

Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
10
Reaction score
6
Waungwana habarini,

Kama kuna mtu amewahi/anafanya kazi katika kampuni za kuagiza magari kutoka nje.

Mwenye uzoefu na hayo maswala kwa kifupi.

Naomba tuwasiliane
Normal/Whatsapp 0757520276

Au

Ntumie namba yako PM nkutafute

Au namna nyingine yoyote unayoona inafaa.
 
Naogopaga sana kupigwa. Na watu anakupiga million au laki tano hivihvi hela yenyewe ya mkopo
 
Naomba kujua nikiagiza dualis from Japan hadi mlangoni kwangu Tsh ngapi
 
Back
Top Bottom