Kuagiza Mbwa na Sungura kutoka nje ya nchi

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Wakuu,
Ninahitaji kuagiza mbwa kutoka ujerumani pia ninahitaji kuagiza sungura kutoka newzealand kwaajili ya kufuga. Naombeni mnisaidie ninawezaje kupata viumbe hao toka nchi tajwa.

Kuna kampuni unayoifaham ambayo huwa inasafirisha wanyama? Asante
 
Nitumie pesa takutumia hukohuko uliko

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
sungura wamejaa vijiji vyote tanzania mbwa hadi mtaani wapo wanazurura why kuagiza nje
 
Mswahili akipata ma.---- hulia mbwataaaaaaa

Wewe umepata vijisent vya kharamu

Wewe naimani una ndugu wengi maskini unaleta kufuru hapa

Hizi ndoo akili zenu mag .alatiaaa
 
Mswahili akipata ma.---- hulia mbwataaaaaaa

Wewe umepata vijisent vya kharamu

Wewe naimani una ndugu wengi maskini unaleta kufuru hapa

Hizi ndoo akili zenu mag .alatiaaa


Unajua Hao Wanyama Wana Umuhimu Gani Kwake?
Kuna Kufuru Gani Aliyoifanya?
Mi Naona Wewe Ndie Unae Sumbuliwa Na Uswahili!!
 
Unajua Hao Wanjama Wana Umuhimu Gani Kwake?
Kuna Kufuru Gani Aliyoifanya?
Mi Naona Wewe Ndie Unae Sumbuliwa Na Uswahili!!
hivi kweli hata sungura tunaagiza labda kama ni maagizo ya mganga ,ndio maana hata njiti za meno na pamba za masikio na viberiti tunaagiza
 
hivi kweli hata sungura tunaagiza labda kama ni maagizo ya mganga ,ndio maana hata njiti za meno na pamba za masikio na viberiti tunaagiza

Kama Wako Tofauti Na Hawa Wetu Kwanini Hasiagize?
Pia Tambua Kuna Aina Mbalimbali Za Sungura Na Ni Kwa Shughuri Maalum
 
utumwa wa akili ndo huu yaani jamaa anaamini sungura na mbwa wa ulaya ni bora kuliko wa bongo
 
Hao mbwa wa kijeruman aka german sherphads nenda polisi kitengo cha mbwa inakuwa rahisi kupata mbegu yake.kuagiza mpaka afike gharama yake ni kubwa sana. Anyways ni ushauri tu maana sijui unawataka kwa matumizi gan huenda unataka wa kibiashara.
 
Hybrid rabbits aina ya California White, New Zealand na German Giant wanapatikana SUA Morogoro ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…