monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Screenshot ya mzigo au maana hata kulipia sijalipia bado nipo kwenye mazungumzo na sellerTuma screenshot kule Xiaomi tuone,haijakaa vizuri hiyo figure yako
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Sellers alivyokujibu kuhusu CBMScreenshot ya mzigo au maana hata kulipia sijalipia bado nipo kwenye mazungumzo na seller
Je kwanini usichukue AliexpressWakuu nimeongea na seller alibaba kama watatu nataka kuagiza smartwatch 30 pcs
..alibaba kwa kumja ..Aliexpress niwa rejareja
Mbona kama hiyo ni gharama ya kununulia? mana kama pcs 1= 5.65$ mara 30pcs ndo inakuja 169.5 Usd.Wakuu nimeongea na seller alibaba kama watatu nataka kuagiza smartwatch 30 pcs akanipa mchanganuo wa cbm 30*5.65=169.5usd naona kama gharama kubwa zaidi ya bei ya bidhaa au mimi ndo sijaelewa maana ni mgeni kwenye sbm nimeshazoea kuagiza AliExpress
Je kuna njia yoyote naweza kutumia kupunguza gharama ya shipping
Sawa mkuu maana niliwacheki yoonek cargo wakasema wanahesabu kila pc ya saa ni elfu 25 kwa meli na kwa ndege ni 50usdMbona kama hiyo ni gharama ya kununulia? mana kama pcs 1= 5.65$ mara 30pcs ndo inakuja 169.5 Usd.
Chakufanya mwambie una shipping agent, akupe gharama za 30 Pcs, Tafuta Local Shipping Agent (ninauzoefu na Jamaa wanaitwa Shamwaa wako faster) Mwambie supplier akupe dimension ya box iliyobeba hizo smart watch WD X L X D. ingia kwenye site ya Shamwaa sehemu ya Shipping Calculator ingiza hizo details utapata Gharama za kusafirisha hadi Dar
Nilishawahi kuchukua AliExpress nilikutana na rungu la kodi na elfu 5900 juu sina hamu nimekua muoga wa kuagiza pcs nyingiJe kwanini usichukue Aliexpress
Sababu πππ
Hapana Kwa meli wana charge kwa CBM, CBM moja kuna wana charge 400/450/500$ kutokana na aina ya mzigo, na kama mzigo wako haujafika CBM kuna namna ya kukokotoa kupata gharama ya mzigo wako na kwa ndege huwa wanacharge kwa KG na kg moja buwa inaanzia $13 kutegemea na kampuni unayotumiaSawa mkuu maana niliwacheki yoonek cargo wakasema wanahesabu kila pc ya saa ni elfu 25 kwa meli na kwa ndege ni 50usd
25*23*36 hiyo ni cbm ngapi mkuuHapana Kwa meli wana charge kwa CBM, CBM moja kuna wana charge 400/450/500$ kutokana na aina ya mzigo, na kama mzigo wako haujafika CBM kuna namna ya kukokotoa kupata gharama ya mzigo wako na kwa ndege huwa wanacharge kwa KG na kg moja buwa inaanzia $13 kutegemea na kampuni unayotumia
Kama hivyo vipimo ni kwa Cm itakuwa 0.02CBM inaweza kukugharimu mpaka 10$ kuja tz. Ila hapo supplier anaweza kuku charge gharama ya kusafirisha mpaka kwa shipping agent wako kama hayupo karibu naye.25*23*36 hiyo ni cbm ngapi mkuu
Ukitumia DHL imekula kwako. Tumia Silent Ocean 0746813813 wapigieNilishawahi kuchukua AliExpress nilikutana na rungu la kodi na elfu 5900 juu sina hamu nimekua muoga wa kuagiza pcs nyingi
Duh unalalamika kodi ya 5900 are you serious? na wewe ni mfanya biashara kabisaNilishawahi kuchukua AliExpress nilikutana na rungu la kodi na elfu 5900 juu sina hamu nimekua muoga wa kuagiza pcs nyingi
Hawa freight forwarder inakuaje ?Tumia freight forwarder