Nyamabano town
Member
- Jul 14, 2016
- 14
- 6
Kama unaweza agiza kutoka nje. unapata uwanja mpana wa kuchagua gari zuri. kama ukitaka kununua kwenye yard za hapa hapa basi nenda yard za uhakika sio kiyard unakuta kina magari 8 tu. Watakuuzia bomu.Wakuu Salaam
Naomba kuuliza hivi kununua gari Toyota Noah kwenye yad za hapahapa tz au kuagiza toka nje kupitia makampuni husika yanafahamika makampuni nisiyataje ipi ni nafuu?? Yaani bei na ubora
Asanteni
...Mkuu hebu saidia zaidi hizo yard za uhakika ni zipi mfano hapo Dar?Kama unaweza agiza kutoka nje. unapata uwanja mpana wa kuchagua gari zuri. kama ukitaka kununua kwenye yard za hapa hapa basi nenda yard za uhakika sio kiyard unakuta kina magari 8 tu. Watakuuzia bomu.
Si kweli,kuagiza ni cheap kuliko kununua yard!!ya kuagiza inakua ghali kidogo ila unachagua kitu unachokipenda. jingine, la kuagiza unasubiri zaidi ya mwezi hadi likufikie toka uagize.