Lenatuschacha
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 156
- 36
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada kwa wale wataalamu
Chukulia hii pichani ya mwaka 2006Kuagiza Toyota Raum kutoka Japan mpaka inaingia barabara itagharimu kiasi gani?
Waweza kuongea na mwakilishi wao Dar au moja kwa moja Japan.SBT wako vizuri zaidi. Nafasi yao ya kujadiliana bei kwa WhatsApp, baruapepe na kwa kuongea ni kubwa na iko wazi sana.
Wajaribu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu mpaka kuingia barabarani..... ???Vipi kwa Mitsubishi pajero Kama hii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1353853
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwakilishi/Meneja wa Japan ndiye bora zaidi.
Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System
Kila kitu mpaka kuingia barabarani..... ???