P PUNKY JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 576 Reaction score 251 May 3, 2016 #1 Wadau mlio na uelewa wa mambo haya naomba ufafanuzi wa kuagiza used engine za Magari kutoka Japan au Dubai kwa kuzingatia bei, usafirishaji, kodi, ubora, upatikanaji, changamoto na kampuni zinazohusika na biashara hii.
Wadau mlio na uelewa wa mambo haya naomba ufafanuzi wa kuagiza used engine za Magari kutoka Japan au Dubai kwa kuzingatia bei, usafirishaji, kodi, ubora, upatikanaji, changamoto na kampuni zinazohusika na biashara hii.
P PUNKY JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 576 Reaction score 251 May 3, 2016 Thread starter #2 Wadau mwenye ujuvi wa hili anijulishe
sajidshabani Member Joined Nov 8, 2013 Posts 20 Reaction score 1 May 3, 2016 #3 Ngoja nitakuulizia kwa wateja wangu jinsi wanavyofanya,mm huwa nawatolea makontena yao kutoka bandarin yakiwa na spare kutoka Dubai na Japan
Ngoja nitakuulizia kwa wateja wangu jinsi wanavyofanya,mm huwa nawatolea makontena yao kutoka bandarin yakiwa na spare kutoka Dubai na Japan
P PUNKY JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 576 Reaction score 251 May 4, 2016 Thread starter #4 Nitashukuru nahitaji sana used engine za magari ya kijapan