Kuagwa kwa mama Abdul: Majonzi & vilio vyatawala

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
Mwili wa msanii mkongwe wa filamu, Salome Nonge maarufu kama Mama Abdul, umeagwa leo katika kanisa la Mtakatifu Tomath Mburahati jijini Dar es Salaam.

Baada ya kuagwa mwili huo utapelekwa katika makaburi ya Chang’ombe Maduka Mawili jijini Dar kwa ajili ya Mazishi.

‘Mungu Ailaze Roho ya Mama Abdul Mahala Pema Peponi’

 
Mkristo anafananaje au ana alama gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii inatokana na nature ya muonekano wa watu wa eneo flani na dini zao,lakini sio mara zote,mfano pwani yote na wadada wembamba weupe waongeaji-wanakuwa ni waislam.

Leo hii ukikutana na mchaga na rafudhi lao lile akakwambia yeye ni muislam unahisi ugwadu kiasi,ingawa ni wengi tu waislam.
 
R.I.P Mwantumu

Sent using Jamii Forums mobile app
tangu udogo wangu nilijua ni muislam , hafanii ukristo kabisa
Umetumia vigezo vipi kufananisha mkuu
Mkristo anafananaje au ana alama gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda madela aliokuwa akivaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hilo jina la mwantumu tuu au mama abduli ilitosha kuhis yy ni muislam

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana uswahili swahili, mstaarabu
Uzi umejaa udini daah
😎😎😎😎😎😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…