Kuahirisha chuo

Kuahirisha chuo

beniko

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
94
Reaction score
9
Ndugu wapendwa iv kwamfano umepangiwa chuo ilikuanza mwaka wakwanza alafu ukapatwa na matatizo ukashindwa kuripoti utafanyaje ili kuweza kuripoti katka chuo hicho kwa mwaka unaofuata au nafasi yako ndo imepotea nainatakiwa kufanya application upya mwaka unaofuata? Naomben msaada apo wadau nin chakufanya
 
kasome ww mambo ya kuhairisha mwaka sera za hii nchi huwa hazielewek
 
Kaongee na registration office ufahamu sheria za chuo chako. Hakikisha unapata everything in writing Ili Muda ukifika uwe na ushahidi wa makubaliano.
 
Unaweza kuahirisha mwaka kwa kufuata utaratibu na mwakani hutafanya application upya.
Kwa vyuo vingi hapa Tz. Ili ukubaliwe kuahirisha mwaka, unatakiwa kufanya usajili kwanza. Ili ufanye usajili, unatakiwa ulipe direct costs
 
nadhani ni vyote mkuu lazima mleta mada ajipange kwa hilo..
 
Back
Top Bottom