Ndugu wapendwa iv kwamfano umepangiwa chuo ilikuanza mwaka wakwanza alafu ukapatwa na matatizo ukashindwa kuripoti utafanyaje ili kuweza kuripoti katka chuo hicho kwa mwaka unaofuata au nafasi yako ndo imepotea nainatakiwa kufanya application upya mwaka unaofuata? Naomben msaada apo wadau nin chakufanya
Unaweza kuahirisha mwaka kwa kufuata utaratibu na mwakani hutafanya application upya.
Kwa vyuo vingi hapa Tz. Ili ukubaliwe kuahirisha mwaka, unatakiwa kufanya usajili kwanza. Ili ufanye usajili, unatakiwa ulipe direct costs