Kuahirisha kufanya mtihani wa kidato cha sita

Kuahirisha kufanya mtihani wa kidato cha sita

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
44
Habarini Wakuu.


Je inawezekana mwanafunzi kuahirisha kufanya mtihani wa kidato cha sita hapa Tanzania?

Kama inawezekana, je ni kwa sababu zipi?

Ikiwa mwanafunzi anataka kuahirisha mwaka huu ili afanikiwe kabla ya muda wa mtihani (Tar 11 Feb 2013) anachukua hatua zipi na kwenda ofisi zipi/ya nani Wizara ya Elimu?

Nitashukuru kwa majibu yenu maana kuna kijana kaniuliza hayo maswali.
 
Back
Top Bottom