Kuahirisha mwaka wa masomo Chuo Kikuu

Kuahirisha mwaka wa masomo Chuo Kikuu

NATIONALISM

Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
24
Reaction score
1
Samahani wadau wa humu.

Aliye na idea juu ya kuahirisha mwaka wa masomo kwa mwaka mmoja, nini kifanyike na ni vitu gani vinahitajika?

Nawasilisha kwenu, shukrani!
 
NATIONALISM

Nenda kwa ofisi ya mshauri wa wanafunzi wa chuo chako, au mshauri wa kitaaluma wa idara yako. Huko wana maelezo kamili na utaratibu wa kufuata...
 
Last edited by a moderator:
Samahani wadau wa humu.

Aliye na idea juu ya kuahirisha mwaka wa masomo kwa mwaka mmoja, nini kifanyike na ni vitu gani vinahitajika?

Nawasilisha kwenu, shukrani!

Hivi hivyo vyuo mnavyosoma hata Prospectus huijui ni bora uache tu.
 
Back
Top Bottom