NATIONALISM Member Joined Jul 10, 2013 Posts 24 Reaction score 1 Apr 30, 2015 #1 Samahani wadau wa humu. Aliye na idea juu ya kuahirisha mwaka wa masomo kwa mwaka mmoja, nini kifanyike na ni vitu gani vinahitajika? Nawasilisha kwenu, shukrani!
Samahani wadau wa humu. Aliye na idea juu ya kuahirisha mwaka wa masomo kwa mwaka mmoja, nini kifanyike na ni vitu gani vinahitajika? Nawasilisha kwenu, shukrani!
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,403 Reaction score 12,775 Apr 30, 2015 #2 Ngoja waje!
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,319 Apr 30, 2015 #3 NATIONALISM Nenda kwa ofisi ya mshauri wa wanafunzi wa chuo chako, au mshauri wa kitaaluma wa idara yako. Huko wana maelezo kamili na utaratibu wa kufuata... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
NATIONALISM Nenda kwa ofisi ya mshauri wa wanafunzi wa chuo chako, au mshauri wa kitaaluma wa idara yako. Huko wana maelezo kamili na utaratibu wa kufuata...
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 11,682 Reaction score 14,241 Apr 30, 2015 #4 NATIONALISM said: Samahani wadau wa humu. Aliye na idea juu ya kuahirisha mwaka wa masomo kwa mwaka mmoja, nini kifanyike na ni vitu gani vinahitajika? Nawasilisha kwenu, shukrani! Click to expand... Hivi hivyo vyuo mnavyosoma hata Prospectus huijui ni bora uache tu.
NATIONALISM said: Samahani wadau wa humu. Aliye na idea juu ya kuahirisha mwaka wa masomo kwa mwaka mmoja, nini kifanyike na ni vitu gani vinahitajika? Nawasilisha kwenu, shukrani! Click to expand... Hivi hivyo vyuo mnavyosoma hata Prospectus huijui ni bora uache tu.