Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwa siku za karibuni imekuwa kama utamaduni wa Mahakama za Tanzania kuahirisha hukumu za kesi, hasa zile zinazotegewa masikio na watu wengi.
Mahakama yenyewe kwa hiyari yake, tena bila kushurutishwa na mtu yeyote inapanga tarehe ya hukumu baada ya kumalizika kwa usikilizaji wa kesi husika, lakini siku ya hukumu inapowadia Mahakama hiyo hiyo inaleta uzushi wa kuahirisha hukumu husika BILA SABABU ZOZOTE ZENYE MASHIIKO!
Kesi ya Sabaya na leo kesi ya Musiba ni mifano ya karibu mno ya jambo hili , nina mashaka hata ile hukumu ya kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomhusu Mbowe na wenzake iliyopangwa kutolewa uamuzi tarehe 19 october hii nayo itaahirishwa.
Haya yote ya kupotezeana muda yanafanyika kwa faida ya nani?