Naomba msaada wa kisheria kuhusu kuajiri mhasibu asiye na CPA iwapo mna bajeti inayovuka bilioni moja kwa mwaka. Kama ni kosa, ni kwa kifungi kipi cha sheria ipi?
Anamaanisha Muhasibu ambaye hajasajiliwa na national board of accountants and auditors establish under the accountants and auditors registration Act of 1972