Kuajiriwa kwa walimu wapya lini?

Jahnido

Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
15
Reaction score
1
Napenda kuuliza kuwa waalimu wapya wataajiriwa lini? kwa anayejua ana uhakika naomba jibu
 
Tarehe 15/11/2011 Kulingana na maelezo ya wizara na tamisemi. Kwa maelezo ya kina rejea gazeti la MWANANCHI la tarehe 6/11/2011.
 
Serikali imefilisika kwa hiyo ajira zote Serikalini zimesimamishwa mpaka hapo itakapotangazwa tena labda baada ya bajeti ya 2012/2013
 
Sasa tuamini kwenye chanzo kipi? Kwa uzoefu wa mwaka jana waliajiriwa tarehe 20/01/2011. Kwahiyo hata mwaka huu huenda ikawa ni tarehe na mwezi huohuo
 
View attachment 41305 soma hii habari ya gazeti la mwanachi

But remember my friend information sourses za Tz haziaminiki

kikwete mwenyewe alisema waalimu watapangiwa pale tu wanapomaliza course which means kwa diploma ni mwezi wa tano degree ni mwezi wa saba.Does that become real sourse?
 
tarehe 15/11/2011 kulingana na maelezo ya wizara na tamisemi. Kwa maelezo ya kina rejea gazeti la mwananchi la tarehe 6/11/2011.

haya tarehe 15 ni leo ngoja tuone
 
Uuuuwieeee ! Auuuui kawamwbwa Nakufa njaa mtaani!.
 
Jamani tarehe 15 si leo mbona hamna ki2 lakini website si nihii www.moe.go.tz au ipo nyingine 2juzane wana jf matatizo ye2 pa1 na shida ze2 pa1.
 
Mi nashindwa kuelewa ni kwa nini serikali wasiwe wakweli kwa walimu hawa, kuna baadhi wanapata sehemu za kufundisha lakini wanaamua kuacha kulingana na kuona watafanya kazi kwa muda mfupi halafu wanaondoka naomba serikali yetu iwaweke wazi kama ni mwakani waseme na tarehe pia but isiwe tarehe 15 mwezi huu huku ukitazama kwenye mtandao PATUPU!
 
Serikali legevu,wanatufanya cc watoto kila cku wanatangaza upya da kazi ipo mwaka huu
 
Mtu mwenye utimamu hutoa taarifa tatizo linapotokea co kudanganya umma alafu unapita unasema miaka hamsini ya uhuru kuna mafanikio ktk sekta ya elimu labda watoto wao wamefanya vzr kwenye mitihani ndio mafanikio wanayosifia ila kwa upande wa ajira za walimu kwishney
 
Nilisikia tetesi mwaka ujao wa fedha which means 2012/2013 mwenye details zaidi anaweza tujuza
 
Kwa kuwa naibu Waziri wa tamisemi alisema kufikia mwezi wa 12 majina yatakuwa yametoka ngoja tusubiri
 
Mna hamu ya kufundisha au mnataka mkachukue hela za kujikimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…