Kuajiriwa ni utumwa

Kuajiriwa ni utumwa

Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kifanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea .ukiyatambua Haha naamini utafanya mahamuzi sahihi.
Kujiajiri ni mahamuzi.
Umeeleweka

Sawa ,je umejiajiri?

Tupe mrejesho!!!!

Tulinganishie Alieajiriwa 5 years ago na uliejiajiri 5 yrs ago tutofautishie kutupa hamasa tukuelewe.
 
Ni vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kifanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea .ukiyatambua Haha naamini utafanya mahamuzi sahihi.
Kujiajiri ni mahamuzi.
Fursa hiyo hapo

Mrejesho gani.. me nimejiajiri siendeshwi .. kuajiriwa utumwa maanake huwezi kuwa huru. Mwajiri wako akikuhitaji saa nane usiku lazima uende mzee
Ukiajiajiri pia huwezi kuwa huru ukileta Uhuru kwenye kujiajiri hiyo biashara itakushinda, ukijiajiri inabidi uwe mtumwa zaidi kuliko alie ajiriwa, alie ajiriwa anaweza kufanya ubabaishaji kazini na akapokea mshahara Ila we uliejiajiri unatakiwa uwe mtumwa zaidi uyatumikie ipasavyo masaa yanayo kuhitaji uwepo kazini na ikiwezekana uzidishe, na hata likizo usiwe nayo.

Usijiajiri kwa kigezo cha kuwa utakua huru hiyo biashara itakushinda mapema
 
Ungali hai utumwa huwezi kuukwepa, kuna waajiriwa wanafuatwa na V8 nyumbani, na kurudishwa Ofisini ana kiti cha kuzinguka Kioyoyozi cha kutosha.

Wapo waliojiajili wanaamka saa tisa, kusubiria Daladala, na kwenye Daladala wanabambanishwa, kazi zake anafanyia kwenye jua na fumbi mda wote.

Unachotakiwa kujua, binadamu tunategemeana, bila waajiriwa mambi hayaendi.
 
Ukiajiajiri pia huwezi kuwa huru ukileta Uhuru kwenye kujiajiri hiyo biashara itakushinda, ukijiajiri inabidi uwe mtumwa zaidi kuliko alie ajiriwa, alie ajiriwa anaweza kufanya ubabaishaji kazini na akapokea mshahara Ila we uliejiajiri unatakiwa uwe mtumwa zaidi uyatumikie ipasavyo masaa yanayo kuhitaji uwepo kazini na ikiwezekana uzidishe, na hata likizo usiwe nayo.

Usijiajiri kwa kigezo cha kuwa utakua huru hiyo biashara itakushinda mapema
Eti, hajui hata kazi binafsi zinahitaji kuendana na wateja wako.
 
Mrejesho gani.. me nimejiajiri siendeshwi .. kuajiriwa utumwa maanake huwezi kuwa huru. Mwajiri wako akikuhitaji saa nane usiku lazima uende mzee
Unapozungumzia suala la kufanya kazi ukijiajiri ndio uhuru unakosekana.

Hii nikwasababu muda wote unawaza kukuza mtaji bila kupoteza muda,unaweza ukashindwa kufanya mambo ya kijamii tena yaliyo yamsingi kwako kutokana na kubanwa na kazi. Nakila ukiondoka kazini kwako pengo lako linaonekana

Ukiwa umeajiriwa kuna uhuru maana majukumu yako yanaweza kutekelezwa na mtu mwingine tena labda kwa ufanisi zaidi

Ila kama kuna tafsiri nyingine ya Uhuru ulimaanisha labda ndio unaweza ukanielewa vinginevyo
 
Back
Top Bottom