Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
UmeelewekaNi vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kifanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea .ukiyatambua Haha naamini utafanya mahamuzi sahihi.
Kujiajiri ni mahamuzi.
Akili kubwa 100 per CentKama kuajiriwa huwezi, kujiajiri ndio utaweza mkuu
Kujiajiri kugumu mkuu na si kila mtu anaweza
Fursa hiyo hapoNi vipi unaweza kujiajiri kijana mwenzangu?
Cha kwanza jikubali tambua unahitaji kifanya nini.
Fikiria ulikotoka,tizama wanaokutegemea .ukiyatambua Haha naamini utafanya mahamuzi sahihi.
Kujiajiri ni mahamuzi.
Mrejesho gani.. me nimejiajiri siendeshwi .. kuajiriwa utumwa maanake huwezi kuwa huru. Mwajiri wako akikuhitaji saa nane usiku lazima uende mzeeUmeeleweka
Sawa ,je umejiajiri?
Tupe mrejesho!!!!
Tulinganishie Alieajiriwa 5 years ago na uliejiajiri 5 yrs ago tutofautishie kutupa hamasa tukuelewe.
We si mtoto wa kike, kaa kwa kutulia maana njia uwaga umnaboostiwa mshaharaAcha kuwadanganya watu
Ukiwa muajiriwa aliyejiari ni jamii moja
Zote ni kazi
Ukiajiajiri pia huwezi kuwa huru ukileta Uhuru kwenye kujiajiri hiyo biashara itakushinda, ukijiajiri inabidi uwe mtumwa zaidi kuliko alie ajiriwa, alie ajiriwa anaweza kufanya ubabaishaji kazini na akapokea mshahara Ila we uliejiajiri unatakiwa uwe mtumwa zaidi uyatumikie ipasavyo masaa yanayo kuhitaji uwepo kazini na ikiwezekana uzidishe, na hata likizo usiwe nayo.Mrejesho gani.. me nimejiajiri siendeshwi .. kuajiriwa utumwa maanake huwezi kuwa huru. Mwajiri wako akikuhitaji saa nane usiku lazima uende mzee
Ungali hai utumwa huwezi kuukwepa, kuna waajiriwa wanafuatwa na V8 nyumbani, na kurudishwa Ofisini ana kiti cha kuzinguka Kioyoyozi cha kutosha.Mrejesho gani.. me nimejiajiri siendeshwi .. kuajiriwa utumwa maanake huwezi kuwa huru. Mwajiri wako akikuhitaji saa nane usiku lazima uende mzee
Eti, hajui hata kazi binafsi zinahitaji kuendana na wateja wako.Ukiajiajiri pia huwezi kuwa huru ukileta Uhuru kwenye kujiajiri hiyo biashara itakushinda, ukijiajiri inabidi uwe mtumwa zaidi kuliko alie ajiriwa, alie ajiriwa anaweza kufanya ubabaishaji kazini na akapokea mshahara Ila we uliejiajiri unatakiwa uwe mtumwa zaidi uyatumikie ipasavyo masaa yanayo kuhitaji uwepo kazini na ikiwezekana uzidishe, na hata likizo usiwe nayo.
Usijiajiri kwa kigezo cha kuwa utakua huru hiyo biashara itakushinda mapema
Unapozungumzia suala la kufanya kazi ukijiajiri ndio uhuru unakosekana.Mrejesho gani.. me nimejiajiri siendeshwi .. kuajiriwa utumwa maanake huwezi kuwa huru. Mwajiri wako akikuhitaji saa nane usiku lazima uende mzee
Ahahahahah daah per dayfundi bishoo , ya ngapi hii ? 34 au ?
kanikumbusha ID flani inaitwa Zagarino, daah jamaa kwa siku anashusha mpaka nyuzi 50Ahahahahah daah per day
Time anayo huyo ya kutosha.... .kanikumbusha ID flani inaitwa Zagarino, daah jamaa kwa siku anashusha mpaka nyuzi 50
sijui ndiyo huyu