M Mourine stephano Member Joined Sep 4, 2014 Posts 38 Reaction score 7 Mar 29, 2015 #1 Wakuu naomba kuuliza hivi sekita ya kilimo ilivyo toa ofa ya general agriculture mwaka mmoja kuna uwezekano wa kuajiriwa
Wakuu naomba kuuliza hivi sekita ya kilimo ilivyo toa ofa ya general agriculture mwaka mmoja kuna uwezekano wa kuajiriwa
O oswinwilliam Senior Member Joined Jan 6, 2015 Posts 112 Reaction score 12 Mar 29, 2015 #2 mm kaka itakua ngumu maana walimu wenyewe adi leo bado afu akuna ata tetesi tu skushauri kasome ata veta kaka
mm kaka itakua ngumu maana walimu wenyewe adi leo bado afu akuna ata tetesi tu skushauri kasome ata veta kaka