Mdau mmoja amejiajiri na anaweza kupata sio less than 1m monthly. Wazazi hawaelewi wanataka aombe ajira. Yeye binafsi ndoto yake ni kuniajiri kwa sababu ya ujuzi wake na competence anaamini atacompete katika secta husika. Wazazi wanamuona kama failure maana emetokea katika jamii inayoamini title za kiofisi.
Anaomba ushauri namna ya kukabiliana na wazazi wake.
Anaomba ushauri namna ya kukabiliana na wazazi wake.