Sasa hospital wanawezanpiga ramli? mambo ya sangoma mpelekee sangoma. hao serikali ndo wapiga ramli wakubwa mbona wanakesha kwa bibi yangu...ila tunafanya siri..
Huyu jamaa kama anataka basi nimuelekeze aje kwa bibi yangu na mambo yake yatakuwa saafi tu...