Ndugu waislamu,sasa nimeona tumeanza kuamka kielimu na kiutambuzi, sasa tuna vyuo vikuu vitatu vya kiislamu na lengo letu ifikapo mwaka 2016 tutakuo na vyuo vikuu 13 kuna viwanja vimeshaanza ujenzi, pia hata mahospitali yanaongezeka sana, vituo vya radio na television, pia maofisini waislamu wamejaa tofauti na miaka ya nyuma tulipokua hatujaamka, tukazane kujiendeleza kwa bidii kielimu kuachana na mambo ya makafiri, pamoja na kumuamini Allah(S.W) na mtume (S.AW) inshaalah.