wadzelino
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 225
- 385
Ni baada tu ya CAS kutoa hukumu ya Kesi ya Mwamba mwenye akili kuwazidi Kile kikundi chote, ndipo waliamua kutangaza kuwa wadhamini wenza wa NBC premier league, ukweli ni kwamba walitaka kujifariji tu, sasa faraja imeisha na Machungu yameisha.
Uchungu wa taasisi kushindwa dhidi ya mtu mmoja siyo mchezo, kwahiyo wapo sahihi kusitisha, ieleweke hivyo, la mhaho na hatihati za kupumuliwa kisogoni ni uongo tu.
Uchungu wa taasisi kushindwa dhidi ya mtu mmoja siyo mchezo, kwahiyo wapo sahihi kusitisha, ieleweke hivyo, la mhaho na hatihati za kupumuliwa kisogoni ni uongo tu.