Well said Nyamayao!!exactly ma bro, mie kama mama nahitajika kuwa nyumbani baada ya mihangaiko ya kutafuta ugali inabidi niwe home kuweka hiki na kile sawa, ni jukumu langu, sasa tukiambatana kila mahali muda wa kuangalia mengineyo nitaupata kweli?
Kuna watu huandamana na wake zao au wapenzi wao popote waendapo,hao huitwa kumbikumbi,na wapo wanaosema,kuandamana na mpenzi wako kila uendako si tabia nzuri,
ina hasara nyingi sana kuliko faida Mwana JF unasemaje?
Yah hapo ni paukweli zaid tena inatakiwa mpka saluni ili ujue anasukwa style gani,,,,yeboyebo sangita au rihana.. sio tu sa ya kwenda kuonja wine na mitoko ya usiku...thats sound more lovely to have some u love beside u.......
Kwangu mimi sioni hasara yeyote. Lakini kama umeongozana na mkeo, then ghafla ukajikuta unapita mbele ya washikaji wanne ambao kati yao una uhakika kuwa watatu wamewahi kummega unaweza kuanguka chali iwapo una kifua cha plastic.
ONYO: Tafadhali kama umempenda sana mkeo, na una presha au ugonjwa wa moyo, basi usipende kuongozana na mkeo kwenye mtaa ambao unajua huenda ukakumbana na waliowahi kummega. Shauri yako.....!
kuandamana, bar,hotelini,vikao vya arusi.sherehe,mpirani,kuona ndugu,kanisani,msikitini,kwenye muziki/burudani,shambani,safarini............
Ni vema kuandamana lakini siyo ndo kila siku kila mahali. Nahisi kama inaweza fika wakati mtabore hivi! Mmelala wote usiku kucha mnazunguka wote mchana kutwa....siku mbili tu mmeshachokana. Stori zitaisha maaana matukio yote mpo pamoja! Au kuna kitu sijaelewa hapa! to me kuandamana occassionally kuna 'ladha' zaidi kuliko kila siku! Hata kisaikolojia kuna nyakati mtu anahitaji muda wa kuwa peke yake.