Nakushukuru mkuu kwa mawazo mazuri sana. Nitalifanyia kazi kisheria at least niwe nafaidika na kazi yangu. Shukran sanaIntellectual property....ahahaah. ni biashara kubwa sana ila inahitaji umakini sana na hasa wa kisheria Ili uweze kunufaika na ubunifu au mawazo yako...
Usijali mkuu kwa kuwa wote ni watanzania na hupo hapa JF (home of great thinkers) basi nitakupenyezea maarifa nitakayo kuwa nayo kwa upana zaidi tuendelee kuwasiliana. Shukrani piahongera sana mkuu kwakua na hicho kipaji,nmekua nikitamani sana kujifunza haya mambo maana pia nahiis ninakitu ndani yake,ukiweza kupata msaada wa hilo suala ,naomba msaada pia unipe elimu kidogo kuhusiana na hili suala
Usijali mkuu kwa kuwa wote ni watanzania na hupo hapa JF (home of great thinkers) basi nitakupenyezea maarifa nitakayo kuwa nayo kwa upana zaidi tuendelee kuwasiliana. Shukrani pia
Salaam JF
Mimi ni kijana mtanzania graduate wa chuo kimojawapo hapa mchini. Pia ni mgeni kidogo humu JamiiForums hii ndio post yangu ya kwanza (Ingawa ni member wa muda kidogo)
Nimekuwa na kipaji cha kuandika proposal za event mbali mbali nikiwa chuo na kufanikiwa kupita kwa maana ya zaidi ya asilimia 70% proposal ninazoandika hupita na kufanya event mbali mbali.
Swali; Je naweza kufanya hii ikawa ndio ajira yangu maana kazi za serikali ndio hivo tena, Naweza pia nikatangazaje hii biashara yangu, pia naweza nikarasimisha vipi hii biashara yangu na kuwa mlipa kodi halali wa serikali.
Wenu mtiifu;