Kuandika swali "how am I driving?" nyuma ya gari ina maana gani?

Kuandika swali "how am I driving?" nyuma ya gari ina maana gani?

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
12,001
Reaction score
27,175
Habari,
Huwa naona baadhi ya magari yameandikwa hilo swali nyuma yakifuatiwa na namba ya simu,huwa wanamaanisha nini?

Na nani anatakiwa kujibu hilo swali na nini lengo la kuweka namba ya simu?

Naomba kufahamishwa.


images.jpg
unnamed.jpg
 
Mkuu ,
Nadhani hiyo yote nikupunguza ajali mfano , gari ya wanafunzi ikiandikwa hayo maneno inamaa unaulizwa dereva avyoendesha pia namba ilo umripoti ikitokea kavunja sheria ,
Ok kwahio hio namba inakuwa ya mwajiri?
 
Ivyo vibao wanavyoweka ni mwajiri mwenye magari mengi kwaiyo ili kupunguza malalamiko yanayopelekwa ofisini kwao wewe ukipiga simu aa kutuma meseji inakuwa rahisi kwao kutambua namba ya gari na dereva anayeendesha kumtambua kwa urahisi
 
Ina maana kuwa wewe sio mmiliki wa gari
Ukiwa mmiliki wa gari huwezi kuandika namba?ili ukiendesha vibaya ukumbushwe kwamba"mbona unatake hovyo bro"au ukiwapa watoto wako upigiwe?
 
mimi nauliza hivi ukigongwa na msafara wa raisi inakuwaje?
Ukiwa kwenye gari lako au kwa mguu?
Kwa mguu labda uwe kiziwi Mara nyingi msafara wa rais unaongozwa na trafic na vingoora kibao.
Kwa gari ni kwamba umedharau kusimama kwani mbele ya msafara kunakuwa na pikipiki ya trafic inasafisha njia na pia traffic wengine wengi barabarani wanasimamisha magari kuruhusu msafara upite.
Kimsingi utashtakiwa kwa kuhatarisha Maisha ya Rais, unaweza ukapotezwa jomba heshimu Sana misafara ya wakubwa ,
Kwenye uchaguzi watajifanya wapole wanaomba kula yako wakishaipata sio mwenzako.
Kuna sehemu nilikuwepo mwehu mmoja akakatiza kwa mguu wakati msafara wa rais unapita , Kuna jamaa nyuma ya msafara kabisa wakasimamisha gari yao wakambeba mzobamzoba wakaondoka naye kwa stahili ya kimafia hawakuchukua hata nusu dakika.
Baadaa ya siku mbili tukamuona tena yule mwehu kitaa amenyolewa nywele fresh na ana nguo mpya tukajua wamemwachia baada ya kujua ni kichaa
 
Back
Top Bottom