Kuandikisha mtoto darasa la kwanza

Kuandikisha mtoto darasa la kwanza

Watunduru

Senior Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
170
Reaction score
39
Wadau naomba kujuzwa,inasemekana elimu ya msingi ada imefutwa lakini kumwandikisha mtoto darasa la kwanza bila kutoa elfu kumi hupewi nafasi,hivi hii ada ya kumwandikisha mtoto shule ni ya nini hasa na inaingia ktk mfuko gani?je inatambulika na inafanyiwa ukaguzi au ni takrima tu waliyojiwekea waalimu?wataalam naomba mnijuze.
 
We kama unataka mwanao andikishwe wape, mie nimetoa 17,000 na tshirt wamempan.
 
Back
Top Bottom