Tetesi: Kuangalia EPL kupitia mtandao mwisho umewadia

Wazuie tu.. sisi wakongwe wa reddit tutaendelea kudunda tu[emoji12]
 
Sky naona wanazidisha kutia fitna ili waendelee kutunyonya.
 
Ila Streaming raha sana nna Flat Screan yangu+Laptop+VGA na HDMI cable na smart phone yangu+bando la chuo bas mambo mubashara hakuna gem ambayo huwa nataka kuangalia nshindwa kiukweli Jf idumu
N.B
Ukitaka kuangalia gem yoyote bila kuscratch na kutumia bando dogo fanya registration kwenye Bet company kubwa za ulaya kama Bwin ama Bet360 gem zote live bila kukwama kwama
 
Boss unaweza ni pm ukanielekeza zaidi kuhusu huo mchongo?
 
Kikubwa tu account yako iwe inasalio japo hawaichukui hilo salio lako
 
nahisi hujui chochote kuhusu biashara ya mpira
Wewe Lazima ufurahie izo live streaming kuzuiwa, kwa sababu unacho kijiwe cha kuonyesha mpira.
Mapato yamepungua
 
Mkuu hiyo hiyo bwin au bet360 naipataje
 
Mahakama kuu uingereza imepitisha maombi ya ligi kuu ya uingereza ya kuzuia mbinu za kutizama soka kupitia vyanzo vya internet wa mfumo maarufu wa kodi set-top boxers,wadau hii imekaaje!
Hii ni nini? set-top boxers. nimejaribu ku google sijaona. nimeona tu inaleta underwear.
 
Unajisajili kivipi na kuna gharama za usajili
 
msaada tafadhali na mie nahitaji sana
 
Mtufundishe hiyo taaluma nasi tufaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…