Kuangalia porn kwenye mtandao

JT2014

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
1,863
Reaction score
1,368
Wakuu habari zenu,

Naomba kwa anayejua anifahamishe,

Je, kuangalia porn kwa njia ya mtandao nayo ni mojawapo ya makosa ya uhalifu wa kimtandao?

Na kama jibu ni ndiyo,kwa nini hawa wanaoweka picha hizo hawafungiwi?

Ahsante.

=================





Kuna Sexual Offences Act of 1998. Ila haifuatiliwi tu.

Mkapa alishaongelea haya kitambo.

Ona hapa

http://m.irinnews.org/report/22707/tanzania-president-announces-crackdown-on-pornographers
 

Attachments

  • mkapa.jpg
    9.1 KB · Views: 651
=Kiranga;9845234]Kuna Sexual Offences Act of 1998. Ila haifuatiliwi tu.

Mkapa alishaongelea haya kitambo.

Asante sana mkuu.
 
Wakuu habari zenu,
Naomba kwa anayejua anifahamishe,
Je kuangalia porn kwa njia ya mtandao nayo ni mojawapo ya makosa
ya uhalifu wa kimtandao?
Na kama jibu ni ndiyo,kwa nini hawa wanaoweka picha hizo hawafungiwi?
ahsante.

welcome to the world dude.. www.rahatupu.blogspot.com chacha wewe unasema nini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…