baina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 219
- 59
Nimefanikiwa kulogin tatizo linakuwa kama ifuatavyo, na naomba msaada hapa.
1. hatua ya kwanza .....login
2. hatua ya pili.......select ni pale kwenye ku-select namba mbili yenye 'My application.
3. Hatua ya tatu....hapa ndo muziki unapokuwa kwani naletewa code za program na yale ma-NO/YES.
SWALI:nikifikia hapa inanibidi nifanye nini?
Msaada tafadhali.