Du hata mm nimekutana na ishu hiyo hiyo anae jua basi atudadafulie
Hapo hakuna cha kujua tena hiyo option naona tcu watakuwa wameondoa hapo sijui kwa madhumuni gani maana mwanzoni tuliona ss hivi hatuoni tena
Hivi hawa tcu zinawatosha?, kwa hiyo ndo kusema wanatufanya sie wajinga? yaani nchi hii, Mungu yupo.
Labda ilikua hawataki watu wajue selection zao kabla ya kuyaweka katika web yao au walikua wanataka waweke hele kwa m2 atakae taka kuangalia via airtel labda atakatwa sh. 150 so tuombe mungu waweke fresh tu mambo yarudi kama zamani
Ndugu yangu huu ni ujinga, kama walikuwa hawajajiandaa si wange subiri?, by the way hii ndo tanzania.
Duuuh, haki ya mungu, hawa tcu wameamua kuniumiza kichwa,tumbo, mafua yan siwaelewi! coz kuna watu wamechek kabisa katika chipi zao za airtel af eti now hakuna namim sijaangalia yan daaah! bhas bhana mungu anajua
Daaaah! thanks kaka, ujue inabouwa kwani wengne tayari washaona kwaiyo ambao hatujaona wanatutesa knouma kaka yan siyo sir nimekora raha!