Kuangiza Nguo kutoka nje ya nchi mtandao wa Ebay

Emoj

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2015
Posts
839
Reaction score
1,304
Wapendwa natarajia kuanza biashara ya kuuza nguo za kike na ningependa kuagiza nguo online kwa Kutumia mtandao wa Ebay.Nimependelea Ebay kwa vile iko na vitu vizuri sana vya wanawake nivipendavyo tofauti na Alibaba na Amazon.
Lengo langu la kuandika thread hii ni kuomba ndugu zangu mnisaide process za kuagiza mzigo online inakuwaje maana sijawahi kununua kitu online kutoka nje ya East Africa.
Napenda kufahamu kuanzia kufungua account ya visa, paypal inakuwaje malipo yanafanyikaje, na kuagiza online vitu gani natakiwa kuzingatia, njia gani ya kusafirisha mzigo itakuwa nzuri zaidi na pia gharama za ushuru hadi mzigo kunifikia. Na ningependa pia kupata mawazo yenu ni upi mtandao mzuri wa kununua bidhaa kati ya Ebay,Amazon na Alibaba.Mimi nipo Moshi.
Asanteni wapendwa.
 
Mkuu, angalia hapo juu kwenye nyuzi sticky angalia uzi wa tatu au nne toka juu.
 

Haitokulipa otherwise kama yako binafsi
Sikukatishi tamaa ila kama unataka kufahamu zaidi we ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…