Kuanguka kitovu cha mtoto kwenye sehemu za siri.

MU-ARSENAL

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
956
Reaction score
597
Habari wana JF,
Poleni na harakati za kusaka mkate wa kila siku.

Mimi ninaomba kufahamishwa vizur kuhusu hili tatizo la kitovu cha mtoto.

Inasemekana eti kitovu cha mtoto mchanga kikikauka na pindi tuu kutakapo angukia kweny uume wa mtoto kunauwezekano mkubwa mtoto huyo asiwe na uwezo tena wa kusimamisha uume wake.

Najua JF hakuna linaloshindikana hivyo naomba tubadilishane Mawazo ili tuelewe zaid.

Je!? Kitovu kina mahusiano gani na kusimama kwa uume.

Ahsante.

Mu-Arsenal
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]hivi hii story yaweza kuwa kweli eeeh? Nami niliwahi ckia eti cm hupoteza network mazima!
 
Kama unaamini itakuwa kweli kwangu mimi siamini na siyo kweli.
 
Hebu muoneshe picha ya Masogange kama haitosimama. [emoji12]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…