Kuanguka kwa JK;Daktari wake anastahili lawama!

Kuanguka kwa JK;Daktari wake anastahili lawama!

Kizimkazimkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2007
Posts
337
Reaction score
240
Ndio, nafikiri Dr. Mfisi na mwenzie Dr.Janabi hawawezi kujitenga na lawama kufuatia kadhia ya kuanguka kwa JK jangwani.

Maelezo kuwa pressure ilishuka na Sukari ilipungua ni maelezo ambayo hayakubaliki na yanaashiri uzembe wa hali ya juu.kama wanachotueleza ni ukweli (binafsi siamini) dk. wa rais alijua ratiba ya rais na uzito wa shughuli atakayoifanya,kama wataalamu walipaswa ku anticipate tukio la namna ile na kuchukua tahadhari na kumshauri rais asifunge.

Daktari mzuri huzingatia sana past medical history ya mteja wake (walisahau kuwa JK aliwahi kuanguka Jangwani akiwa amefunga?)...nafikiri wataalam wa afya wajitokeze na kutoa maoni yao kuhusu tukio hili.

Binafsi sioni ubaya wowote kujadili suala la afya ya kiongozi wa juu kabisa wa nchi hii kwa sababu kwa nafasi yake, hakuna jambo linalomhusu ambalo linapaswa kuwa siri has kama lina athiri ufanisi wa kazi yake kama rais.
falling.jpg
 
Mkuu kabla ya yote please eleza ufanisi alionao ili wadau wachangie mada maana wengi wanadhani hata akianguka ni sawa tu wanadai kuwa ni laana kutokana na vilio vya watanzani kuhusu maisha magumu na kukumbatia mafisadi (ambao ndio kwa hakika wanainfluence kila kitu-uchumi, sera, siasa etc.) na JK wala hajali!
 
Back
Top Bottom