Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,972
1. Mpaka sasa kumekuwa na maswali mengi kuliko majibu kuhusu kuanguka kwa JK jukwaani, hasa nyakati za uchaguzi.
2. Kama kawaida wanasiasa Watz walishapata majibu hata kabla ya JK kuzinduka alipokuwa amezimia, tukaambiwa kwamba eti ni habari ya swaumu! Kwa wale mliofuatilia hotuba ya JK siku ya tukio tarehe 21/08/2010 mtakubaliana nami kuhusu alichosema Luteni Makamba wakati JK akipewa huduma ya kwanza. Kama ni habari ya swaumu pekee kwa nini hatuoni walalahoi ambao maisha yao ni magumu, hawajui hata kesho itakuwaje, wakidondoka ovyo wakati huu wa mfungo!
3. Kwa kuwa watu wenye BP za kupanda au kushuka huwa wanazimia wakati kunapokuwa na hofu fulani (kushindwa ikiwa mojawapo), kuna uwezekano mkubwa kwamba JK nahofia kukaa maisha ya nje ya Ikulu wakati atakapokuwa anampisha Daktari mwenzake Willbrod!