Kuanguka kwa Liverpool kutaanzia boxing day

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
And the rest will be history

In my opinions EPL champion this season is either Manchester city or Leicester city

Liverpool INA mechi ngumu sita mfululizo

KatikA mechi hizo sita atapoteza tatu na kushinda mbili na sare moja

Atapiteza points kumi na moja ndani ya mechi sita
Hii itamtoa kwenye mbio za ubingwa
Niliangalia mechi ya Liverpool na flamingo ukweli ni kwamba wachezaji wa Liverpool wanechoka sana hawana tena pumzi hasa keyplayers

Hawana tena Yale makali ya msimu ukiyopita
I'm not playing bad card ila Liverpool hawezi uchukua ubingwa wa EPL

Ukizingatia kikosi cha Liverpool ni injury prun kwa 92%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu boxing say ndio nini??

Watu wa man u bhana, Kuna mwenzako mmoja siku tumecheza na Watford akanifanya mchambuzi et liva kachoka anastruggle kupata ushindi hata kwa timu ya mkiani hivyo washakata upepo. Kilichowapata wao man kwa Watford kikajanifuraisha zaid
And the rest will be history

In my opinions EPL champion this season is either Manchester city or Leicester city

Liverpool INA mechi ngumu sita mfululizo

KatikA mechi hizo sita atapoteza tatu na kushinda mbili na sare moja

Atapiteza points kumi na moja ndani ya mechi sita
Hii itamtoa kwenye mbio za ubingwa
Niliangalia mechi ya Liverpool na flamingo ukweli ni kwamba wachezaji wa Liverpool wanechoka sana hawana tena pumzi hasa keyplayers

Hawana tena Yale makali ya msimu ukiyopita
I'm not playing bad card ila Liverpool hawezi uchukua ubingwa wa EPL

Ukizingatia kikosi cha Liverpool ni injury prun kwa 92%

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani Liverpool ana mechi zipi baada ya boxing Day?

Liverpool ni bingwa klabu duniani!
Sasa hizo mechi 6 ngumu EPL zinatoka sayari ya ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And the rest will be history

In my opinions EPL champion this season is either Manchester city or Leicester city

Liverpool INA mechi ngumu sita mfululizo

KatikA mechi hizo sita atapoteza tatu na kushinda mbili na sare moja

Atapiteza points kumi na moja ndani ya mechi sita
Hii itamtoa kwenye mbio za ubingwa
Niliangalia mechi ya Liverpool na flamingo ukweli ni kwamba wachezaji wa Liverpool wanechoka sana hawana tena pumzi hasa keyplayers

Hawana tena Yale makali ya msimu ukiyopita
I'm not playing bad card ila Liverpool hawezi uchukua ubingwa wa EPL

Ukizingatia kikosi cha Liverpool ni injury prun kwa 92%

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi pekee ya Mashabiki wa Man Utd waliyobakiwa nayo ni kuchukua mikoba ya Sheikh Yahya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And the rest will be history

In my opinions EPL champion this season is either Manchester city or Leicester city

Liverpool INA mechi ngumu sita mfululizo

KatikA mechi hizo sita atapoteza tatu na kushinda mbili na sare moja

Atapiteza points kumi na moja ndani ya mechi sita
Hii itamtoa kwenye mbio za ubingwa
Niliangalia mechi ya Liverpool na flamingo ukweli ni kwamba wachezaji wa Liverpool wanechoka sana hawana tena pumzi hasa keyplayers

Hawana tena Yale makali ya msimu ukiyopita
I'm not playing bad card ila Liverpool hawezi uchukua ubingwa wa EPL

Ukizingatia kikosi cha Liverpool ni injury prun kwa 92%

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa.
wachawi mliwanga Madrid, mkarudia Istanbul halafu hapa juzi kati mkaja kuroga tena Doha.
kilichotokea? "international treble" (ambayo hakuna timu yoyote ya EPL ishafikia mafanikio haya) ikabamba kabatini pale Anfield

kesho Leicester hata wakishinda kwa mfano (kitu ambacho ni ndoto ya mchana), Liverpool watakuwa bado na faida ya pointi 7 kileleni huku wakiwa na game 1 mkononi!
 
Back
Top Bottom