Nimekuwa nikisikiliza hoja mbali mbali kutoka watu mbalimbali nakutamani watanzania na wasomi ktk taifa hili tukubaliane yakuwa sio serikali inauwa secta zaki bank ila mahali fulani vyombo vyetu vyenye dhamana kusimamia taratibu za uwendeshaji ma bank haya zilifungiwa macho na kila mtu akafanya alichokifanya na leo tumefika hapa tumefika.
Ktk taifa lenye almost~ 47 na wengi wao wapo vijijini tuna zaidi ya bank za biashara zaid ya 53 na nyingi zipo mjini kwa asilimia 95 lazima wenye akili ajiulize bank hizi zina fanya biashara gani.
Sitaki kuwa mnafiki ila kaburi mabank walijichimbia kwa muda mrefu sasa nidhahiri litazika ma bank mengi na sio siri haya yalitabiriwa.
Uajiri usioangalia aina ya kazi na watu wangapi wanaitajika huu ni mwiba wa kwanza kwa mabank mengi. Ilifika mahali bank ina ajiri watu wasio na tija ktk kaz ambazo angefanya mtu mmoja wao wameajiri watu mpaka wa nne kwa kaz watu wawil au mmoja angefanya. Uajiri usiofuwata taratibu kwa sasa ni mwiba mchungu kama sio kifo cha mabank mengi. Wenzetu wengi na sio ma bank tu hata taasissi za umma hili nitatizo kuajiri watu wengi uonekane muajiri bora wakati biashara inaingia shimoni nikujitoa akili.
Mishahara mikubwa with output zero nalo ni msalaba taasisi zakifedha niwazuri ktk kutoa mishahara minono hivyo ikiwa taasisi ya fedha ina ajiri kwa kuangalia mtoto wanani mwisho nilazima ujikute una mzigo mkubwa wa mishahara kwa watu hupati kitu kwao.
Idara nyingi na kila idara ina manager inasemekana bank ndipo kuna vyeo vingi vya meneja hivyo kufanya kuwa nabutitiri wa meneja hata pale hapaitaji maneger.
Bank kutumia amana za serikali kuikopesha serikali nakusahau zile pesa sio zao nao huu ulikuwa ujuwa unatutesa mpaka sasa niukweli usio pingika hakun amahali ktk taifa serikali inakopa pesa zakehivyo hata pale tunamsema Magu semen hii aina ya biashara tulipata wp