Elections 2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika



Hakika umenena BRAVO
 

unasema mafisadi wamemsulubu?how?. Unasema angetimkia chadema na chadema wangempa nafasi ya kugombea urais?! Chadema ipi? Au ulitaka aanzishe chadema akademia?, kwa siasa za tz nadhani bado hujazisoma vizuri: kumbuka kuwa kuna ubinafsi, ukanda na chuki binafsi. Sita hawezi kukubalika mahali popote bcos ana ubinafsi wa hali ya juu na ubabe usiopimika.
 
Nadhani alipokosa U-spika sasa hivi ..anawaza ofisi ataifanyia nini...
 
Haiwezekani wakakubaliana mambo ya msingi ila mambo yasiyokuwa ya msingi wanaweza kukubaliana
 
sitta ni kafisadi kwanini ajenge ofisi ya spika kwake , huu ni uzezeta kabisa . si bure aibu yake
 

Bora we umejua hilo ingawa inaonekana tongotongo za udini bado zipo. Mwl. Nyerere hakuwa mdini na aliwapa nafasi sawa waislmu kwa wakristo. Hivi angekuwa anavaa kibalaghashia na ndevu zinazofika kifuani angetaifisha shule za misikiti ili nafasi iwepo kwa watanzania wote kusoma? Bila shaka hawezi kuthubutu na angetubutu angetishiwa albadhru au mwalila sijui.
Tatizo lenu mtu akivaa kibalaghashia akawaimbia allah wakbar basi mnacheka!! mkifikiri ni kiongozi bora kumbe mnaoumia ni nyie make sisi tushatangulia. Mnampa kura zote kumbe mmeumia.
Sikubaliani na aliyefaninisha CC na KAMATI YA HIJA lakini pia ntafurahi ikiwa we ni miongoni mwa wachache kwenu wanochagua kiongozi bila Kuangalia ka ni Muislamu au Mkristo.
 
kumbe na wewe ndio mmoja wao?? duh nilikuwa sijui mpo hata humu
 
Ukiangalia hao wooote ni maslahi kwanza, mkwere ndio zero plus sasa SITTA angeokoka vipi katika bwawa lenye mamba wengi hivo?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…