pilikapilika2013
Member
- May 19, 2023
- 20
- 34
katika uzi wako wa mwanzo maelezo hayakuwa yakujitosheleza,ila naomba kufahamu kwanza tayari mkopo umeishaingia katika akaunti yako? je kiasi cha mkopo husika kiliwekwa katika akaunti yako nje na muda mliokubaliana?na je makato yaliyofanyika ni nje na mliyokubaliana?na je ulipata madhara yoyote kutokana na tatizo hilo? kama hakuna na vitu vyote vilifanyika kama mlivyokubaliana nakushauri tu endelea kutumia mkopo wako kwa kile ulichokusudia huku ukifanya marejesho kwa kadri ya makubaliano yenu.Napenda kujua, Je inakuwaje kama nimeomba mkopo Benki na afisa utumishi ameidhinisha maombi ya mkopo lakini Benki wakachelewa kunipa mkopo ule. Hadi wakaanza kunikata makato, kisheria imekaa vp km ntawashitaki?
Sent from my JZ-A800-11A using JamiiForums mobile app
Mkopo haukuingia Hadi ikabidi Mimi nimuombe afisa utumishi asimamishe makato Yale maana walianza kunikata,hivyo hakuna mkopo ulioingia na hata ile pesa waliyoikata kwa mwezi mmoja wamegoma kuirudisha maana niliwaandikia Hadi barua lkn hawajarespondkatika uzi wako wa mwanzo maelezo hayakuwa yakujitosheleza,ila naomba kufahamu kwanza tayari mkopo umeishaingia katika akaunti yako? je kiasi cha mkopo husika kiliwekwa katika akaunti yako nje na muda mliokubaliana?na je makato yaliyofanyika ni nje na mliyokubaliana?na je ulipata madhara yoyote kutokana na tatizo hilo? kama hakuna na vitu vyote vilifanyika kama mlivyokubaliana nakushauri tu endelea kutumia mkopo wako kwa kile ulichokusudia huku ukifanya marejesho kwa kadri ya makubaliano yenu.
Napenda kujua, Je inakuwaje kama nimeomba mkopo Benki na afisa utumishi ameidhinisha maombi ya mkopo lakini Benki wakachelewa kunipa mkopo ule. Hadi wakaanza kunikata makato, kisheria imekaa vp km ntawashitaki?
Sent from my JZ-A800-11A using JamiiForums mobile app
Mkopo haukuingia Hadi ikabidi Mimi nimuombe afisa utumishi asimamishe makato Yale maana walianza kunikata,hivyo hakuna mkopo ulioingia na hata ile pesa waliyoikata kwa mwezi mmoja wamegoma kuirudisha maana niliwaandikia Hadi barua lkn hawajarespond
Pia madhala yapo,kuna dharula nilikuwa nayo lkn sababu ya benk kuchelewa ikabd madhala zaid yanitokee,,,(Madhala ni mengi lkn naomba nisiyaorodheshe hapa)katika uzi wako wa mwanzo maelezo hayakuwa yakujitosheleza,ila naomba kufahamu kwanza tayari mkopo umeishaingia katika akaunti yako? je kiasi cha mkopo husika kiliwekwa katika akaunti yako nje na muda mliokubaliana?na je makato yaliyofanyika ni nje na mliyokubaliana?na je ulipata madhara yoyote kutokana na tatizo hilo? kama hakuna na vitu vyote vilifanyika kama mlivyokubaliana nakushauri tu endelea kutumia mkopo wako kwa kile ulichokusudia huku ukifanya marejesho kwa kadri ya makubaliano yenu.
Ndo maana naangalia uwezekano wa kwenda mahakamani ili wakajieleze hukoNyie wapole sana, si unaenda hautoki bank unakaa hapo hapo? Huo si wizi?
Nadhani soma upya mkataba wako ulioingia na benki unasemaje?Napenda kujua, Je inakuwaje kama nimeomba mkopo Benki na afisa utumishi ameidhinisha maombi ya mkopo lakini Benki wakachelewa kunipa mkopo ule. Hadi wakaanza kunikata makato, kisheria imekaa vp km ntawashitaki?
Sent from my JZ-A800-11A using JamiiForums mobile app
Benki gani hiyo itaje jina? Wanagomaje kama una evidence wapeleke mahakamani. Ila mimi wangerudisha siku iyo iyo zege halilali. Au unadai kinyonge sana fedha zako.Mkopo haukuingia Hadi ikabidi Mimi nimuombe afisa utumishi asimamishe makato Yale maana walianza kunikata,hivyo hakuna mkopo ulioingia na hata ile pesa waliyoikata kwa mwezi mmoja wamegoma kuirudisha maana niliwaandikia Hadi barua lkn hawajarespond
Bayport, Mahakamani ndo naelekeaBenki gani hiyo itaje jina? Wanagomaje kama una evidence wapeleke mahakamani. Ila mimi wangerudisha siku iyo iyo zege halilali. Au unadai kinyonge sana fedha zako.